myPostech Msingi
Kwa duka dogo la mtaa, mama ntilie, kibanda
Tsh 5,000/= kwa mwezi
- ✔ Mauzo kupitia Sauti au maandishi
- ✔ Kurekodi mauzo kiotomatiki
- ✔ Ripoti za matumizi, faida na mauzo kwa mwezi mmoja
- ✔ Kutunza Kumbukumbu mwezi mmoja
- ✔ Mpaka aina za bidhaa 50
- ✔ Matumizi hata bila bando na myPosTech App (PWA)
myPostech Lite
Duka lenye bidhaa nyingi, linaendeshwa na mtu 1 au 2
Tsh 15,000/= kwa mwezi
- ⭐ Kifurushi cha myPosTech Msingi
- ✔ Uwezo wa kufanya mauzo kwa mkopo (deni)
- ✔ Ripoti za mkopo (deni), yupi anadaiwa sana, yupi kwa muda mrefu, n.k.
- ✔ Ripoti za kila siku na wiki
- ✔ Kutunza Kumbukumbu miezi 3
- ✔ Kujua bidhaa inayoulizwa sana
- ✔ Mpaka aina za bidhaa 300
- ✔ Kufanya matunzo ya taarifa za mauzo kwenye simu (CSV backup)
myPostech Pro
Kwa supermarket ndogo au duka kubwa
Tsh 30,000/= kwa mwezi
- ⭐ Kifurushi cha myPosTech Lite
- ✔ Usimamizi na usajili wa wafanyakazi wote
- ✔ Taarifa za hisa (stock) na bidhaa zinazouzwa zaidi
- ✔ Ripoti za kila siku, wiki, mwezi
- ✔ Kujua bidhaa zilizo-expire
- ✔ Risiti za madeni
- ✔ Kuratibu bidhaa zilizorudishwa
- ✔ Kutunza Kumbukumbu miezi 6
- ✔ Mpaka aina za bidhaa 1500
- ✔ Kutuma taarifa kama kuna bidhaa imekwisha au ipo chini sana
myPostech Business
Kwa biashara kubwa au zenye matawi
Tsh 50,000/= kwa mwezi
- ⭐ Kifurushi cha myPosTech Pro
- ✔ Mfumo wa matawi mengi
- ✔ Duka lipi linatengeneza faida kubwa
- ✔ Ripoti ya mfanyakazi aliyetengeneza faida kubwa
- ✔ Ulinganisho wa mauzo kati ya matawi
- ✔ Kutunza Kumbukumbu mwaka mzima
- ✔ Lugha zaidi ya moja
- ✔ Hakuna ukomo wa kusajili bidhaa
- ✔ Usaidizi wa kiufundi na mafunzo kwa wafanyakazi
- ✔ Kupata meseji automatiki ya orodha ya bidhaa zilizoisha
myPostech AI
Kwa biashara yoyote inayotaka matumizi ya AI
Tsh 100,000/= kwa mwezi
- ⭐ Kifurushi cha myPosTech Business
- ✔ AI kukupa kipi cha kuagiza na lini ?
- ✔ AI kukupa bei inayofaa zaidi sokoni
- ✔ Kutunza Kumbukumbu miaka 2
- ✔ AI kwa ajili ya kutabiri mauzo na kuangalia kama biashara inakua
- ⭐⭐⭐ myPostech vision seller (Advanced AI and computer vision)
Unahitaji msaada au maelezo zaidi? Wasiliana na timu yetu ya msaada!
📲 Ingia WhatsApp