Mfumo wa kisasa wa POS ulio na uwezo wa kuboresha na kurahisisha mauzo kwa ku scan special QR Codes hivyo kufanya mahesabu ya biashara kiotomatiki.
PosTech ni mfumo wa kisasa wa Point-of-Sale uliotengenezwa ili kurahisisha shughuli za biashara hasa mauzo na utunzaji wa taarifa za kibiashara kwa kufanya uchanganuzi wa faida, usimamizi wa mauzo na manunuzi, na shughuli zisizo na mashaka, tunawasaidia wajasiriamali kufanikiwa.
Pata uchanganuzi wa wakati halisi kuhusu mauzo na orodha zako.
Fuata kila shughuli kwa urahisi.
Hatutakosa bidhaa tena.
Imebuniwa kwa utendaji bora na usalama.
Una maswali? Wasiliana nasi, tutafurahi kukusaidia.